Hahahaa. Ushabiki wataka moyo sana aisee kama ni wa makaratasi ndio inakuwa kama hivyo yaani mpaka Jahazi likishazamishwa.Alikuwa anatest mitambo
Ina maana hakuna mvua ?Mlio uwanjani au karibu na media tupeni updates
Hahahaa. Ushabiki wataka moyo sana aisee kama ni wa makaratasi ndio inakuwa kama hivyo yaani mpaka Jahazi likishazamishwa.
Tusubirie April 29 ndio tutaona uzuri wa hiyo Simba yao.
Viongozi wa dini wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Daslaama wamesha maombi ya kufa mtu kuombea mvua itulie kiasiIna maana hakuna mvua ?
game badoGame ishaisha hii. Simba ashashinda tusubiri ya Lipuli ijumaa
Hahahaa. Tusubiri tuone Mkuu.Tarehe 29 mtatukabizi ubingwa.
shunie hyo lugha yako!mnyama YANGUKila la heri mnyama yangu mie
kwani kipyenga cha mwisho tayari?Prison anaweza Ku equalize
Kamati ya Amani na mvua wapi na wapi !! Kwani mvua inatengenezwa na binadamu ?Viongozi wa dini wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Daslaama wamesha maombi ya kufa mtu kuombea mvua itulie kiasi
Hakunaga kama mnyama mambo ni motoooooooFull TimeView attachment 746590
Shikamoo boko