Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Ushindi ni jadi yetu, yaani mkuu Hajar hapo ulipo ujue hatupoi mpaka mwisho. Mwaka wetu. This is Simba 2018.
Hahahaaaa. Nawaona tu Mie.

Ila mnastahili sababu machungu ya misimu 05 sio madogo jamaani Mtani mngeweza patwa na magonjwa bure.

Angalau Msimu huu na nyie mcheke kidogo Mtani.
 
Kweli Simba sio WAZALENDO... YAANI WAMEVUNJA UKUTA WA MADINI ULIOJENGWA NA TZ.PRISON.

Magu dili nao...

#Mwaka_wetu
 
Hahahaaaa. Nawaona tu Mie.

Ila mnastahili sababu machungu ya misimu 05 sio madogo jamaani Mtani mngeweza patwa na magonjwa bure.

Angalau Msimu huu na nyie mcheke kidogo Mtani.
Kweli mtani...
unaonaje usajili wa Simba eti una mashaka?
 
Hahahaaaa. Nawaona tu Mie.

Ila mnastahili sababu machungu ya misimu 05 sio madogo jamaani Mtani mngeweza patwa na magonjwa bure.

Angalau Msimu huu na nyie mcheke kidogo Mtani.
Ha ha naona umeanza kukubali kuwa Simba SC Bingwa na mnabadili kauli. Si mlisema kuwa mtatukuta kwamba miaka yote tunaanza kutangulia sisi.

Kila la kheri huko michuano ya Kimataifa.
 
Ha ha naona umeanza kukubali kuwa Simba SC Bingwa na mnabadili kauli. Si mlisema kuwa mtatukuta kwamba miaka yote tunaanza kutangulia sisi.

Kila la kheri uko michuano ya Kimataifa.
Kwa mbaali Mtani ila itakuwa kauli yangu kamili endapo Mtapata matokeo game ya April 29.

Hahahaaaaa. Ahsante sana nakukaribisha utushangilie kesho kutwa uje uone Mhabesh anavyozidi kukaa.
 
Kwa mbaali Mtani ila itakuwa kauli yangu kamili endapo Mtapata matokeo game ya April 29.

Hahahaaaaa. Ahsante sana nakukarisha utushangilie kesho kutwa uje uone Mhabesh anavyozidi kukaa.

Akicheza Mbeya City na Prison pale Sokoine unakuwaga upande upi?
 
IMG_20180416_192050.jpg

aminas, Ghazwat, Sesten Zakazaka, King Ngwaba njooni huku muone timu yenu.

Najua Kama Ujio Wangu Huu Haujakupendeza! 😀😀😀😀
 
Maana Mbeya City ndo ina influence kwa Mbeya how comes wewe ni Prison [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Kweli mtani...
unaonaje usajili wa Simba eti una mashaka?
Hahahaaa. Hauna mashaka kabisaa Mtani.

Ila timu zetu kibongo bongo misimu mitatu mingi yaani mambo hayachelewi kugeuka na kuwa kama ya Yanga msimu huu.
 
Back
Top Bottom