Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Tuko pamoja sana mkuu, agiza chipsi kuku hapo mlimani city nakuja kulipa kiongoziSihami hata unipe kitu yaani hata uje na mahela mengiiii sihami kwa kweli simba na man u ndio roho zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado na Okwi maana pale Taifa sio rahisi atoke bila goli
Cc Shunie
Safi sana Shunie:Kweli napenda mahela shem ubaki nayo tu jamani siwezi hama simba we kama unanipa nipe tu kwa mapenzi sio uniambie mambo za kuhama team kuhama team ni ngumu sana kwangu kama vile kubadili dini
Kweli..Hahahaaa. Hauna mashaka kabisaa Mtani.
Ila timu zetu kibongo bongo misimu mitatu mingi yaani mambo hayachelewi kugeuka na kuwa kama ya Yanga msimu huu.
Pole Hajar, sasa tarehe 29 sijui utaangalia mpira au utajifungia ndani tu ili pressure isipande?Hahahaaaaa. Mie wala sikimbii Sesten. Teh teh
WeraweraaaaaSimba raha jamn
Hahahaaa. Nitaangalia sana tu. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Pole Hajar, sasa tarehe 29 sijui utaangalia mpira au utajifungia ndani tu ili pressure isipande?
Hahahaaa, inabidi ambulance iwe karibu maana watu tunatangazia ubingwa mgongoni kwenuHahahaaa. Nitaangalia sana tu. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaaa. Jamaani Sesten. [emoji85] [emoji85]Hahahaaa, inabidi ambulance iwe karibu maana watu tunatangazia ubingwa mgongoni kwenu
Na huko Ethiopia sijui, ila mkishinda nitawashangilia mkichemsha nitawachekaHahahaaa. Jamaani Sesten. [emoji85] [emoji85]
Na kweli aisee sababu najijua mwenyewe. [emoji12]
Hahaaa. Anza kujua tu Sesten sababu ushindi ni lazima.Na huko Ethiopia sijui, ila mkishinda nitawashangilia mkichemsha nitawacheka
Hahahaaa sisi tulitolewa na wanaojua soka bana sio wale makhirikhiri banaHahaaa. Anza kujua tu Sesten sababu ushindi ni lazima.
Ila hata tukichemsha usitucheke bwana sababu nyie mliishia wapi kwani?
Hahahaa. Kutoka ni kutoka bwana Sesten haijalishi nani kakutoa.Hahahaaa sisi tulitolewa na wanaojua soka bana sio wale makhirikhiri bana