Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Ewe SHETANI mtawala wa anga la kuzimu, saidia simba a.k.a mikia fc ifungwe goli 6 - 1. Walidhania mashindano ya kimataifa ni mepesi kama ya miaka ya nyuma. Ewe Ibilisi wanyime kombe la ligi kuu thimba a.k.a wamatopeni fc. Mechi ya Leo ma marudiano kule misri ndiyo iwe mwisho wao wa kupanda ndege. Ameen !
Kufa mbwa weee
 
Dah.. Hata matokeo si mbaya sana lolote laweza kutokea, naamini hivyo mpaka dk 90
Sio mabaya kabisa Kaka Mtani ndio sababu hata sisi jana tuliyapokea hivyo hivyo. [emoji12]
 
Walimtukana mamba kabla hawajavuka mto...wacha tushuhudie hii dhambi yao
 
Ili kuambulia japo draw ni lazima kwanza NDEMLA, MZAMIRU na JUUKO WAINGIE....

Pili mabeki ndio walioleta BALAA LOTE LA LEO.... Beki anashindwa kuondoa mpira ukaenda mbali ni aibu sana.

Beki anaondoa mpira mita mbili KWELI????? Haiwezekani. Mabeki hawajiamini kabisa Nashindwa kuelewa Beki mzoefu kama Erasto Nyoni ANATETEMEKA KAMA MTOTO.
 
Hiki kikosi cha simba mbona kama njombe mji vile?
IMG-20171125-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom