[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo tutawaona wafanyakazi hewa. Bilioni 1 inanunua makombe eeeh.?
Mtaani kwetu hawakulala simba mpaka asubuhi na hangover zao wamekuja milangoni kwetu kuzungumzia mechi ya janaKama nyie jana mlivyojigruza kuwa funza kwenye mav.i
Kufa mbwa weeeEwe SHETANI mtawala wa anga la kuzimu, saidia simba a.k.a mikia fc ifungwe goli 6 - 1. Walidhania mashindano ya kimataifa ni mepesi kama ya miaka ya nyuma. Ewe Ibilisi wanyime kombe la ligi kuu thimba a.k.a wamatopeni fc. Mechi ya Leo ma marudiano kule misri ndiyo iwe mwisho wao wa kupanda ndege. Ameen !
Dah.. Hata matokeo si mbaya sana lolote laweza kutokea, naamini hivyo mpaka dk 90Nasubiri Kaka Mtani. Pia nimefurahi kukuona.
Karibu.
Sio mabaya kabisa Kaka Mtani ndio sababu hata sisi jana tuliyapokea hivyo hivyo. [emoji12]Dah.. Hata matokeo si mbaya sana lolote laweza kutokea, naamini hivyo mpaka dk 90
Rafiki nakufatilia kwaukaribu unavyoomba dua mbayaHahahaaa. Umeonaeee. Wacha tuwe Waarabu sababu jana walitucheka sana aisee.
Record za CAF hivi sasa kimataifa zinasema Yanga IPO juu sana kuliko mikia fc ndiyo mana tunafurahi sanaHivi vyura mnajifariji nini hasa
Lolote linaloweza kutokea ni Simba kufungwa tu hamna namnaDah.. Hata matokeo si mbaya sana lolote laweza kutokea, naamini hivyo mpaka dk 90
Wacha kabisa rafiki. Jana hapakutosha hapa.Rafiki nakufatilia kwaukaribu unavyoomba dua mbaya
Hiki kikosi cha simba mbona kama njombe mji vile?
Wanaweza rudisha na kufunga tusubi kipind cha pili...Record za CAF hivi sasa kimataifa zinasema Yanga IPO juu sana kuliko mikia fc ndiyo mana tunafurahi sana
Hata mimi naona kabisa bado nafasi tunayo. IleeeeePamoja na al masri kuongoza 2 -1 tusikate tamaa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri
Safari ya kukata rufaa CAF imeiva. Wana draft barua tayariAl masri wamekuja na mashabiki wengi, kweli malipo hapa hapa duniani, hamna jinsi inabidi simba mpambane na hali yenu, msitegemee uzalendo. Naona manara ktk press conference lazima aje na ile flat screen yake, kuthibitisha uhalali wa Penati.
SeriousTupo wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]