Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Simba ni wa Matopeni tu so hawez mfanya lolote Al masry
Wanafungika mkuu naona sub kidogo zimeamusha pale katikati....Tunawaogopa tu waarabu lakini ni wa kawaida sana
I love you shabiki wa simba mwenzanguTupen matokeo jaman khaaa moyo wangu unauma
Kumbe inawezekana kabisa Sema basi tuSimba kaepuka kunywa kikombe kama cha Yanga.
AminaTupige la tatu ...
Linaingia mkuu sasa hivi tunawashambulia kwelikweli.....Tupige la tatu ...
hamna la nyongeza hapo...suluhu tuThis is simba..... kuna kuongeza goli lingine nilisema hapo mwanzo ndemla alikuwa wapi muda wote......
Afadhali maana nilikuwa nazomewa balaaaSasa hivi 2-2 mpenzi.... [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Asante sana ungekuwepo ungenisaidia maana hawa wanaovaaa njano wamenizomea mpaka nikajifungia ndaniI love you shabiki wa simba mwenzangu
MmhMvua kubwa inapiga, Tanesco wanakata umeme uwanja wa taifa very soon.
hili jamaa linaroho mbaya kama sura ya kwenye avatar yakehamna la nyongeza hapo...suluhu tu
Mbotswana aliwachezesha makirikiriNyinyi Wa Nchikavu Mulimfanya Nini Mbotswana?