Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Acha uzushi wewe kwa mpira gani? Sema simba ina wachezaji wakongwe
kuliko Yanga

naona baada ya kushindwa kuiwakilisha nchi mmerudi mlikokuzoea kwenye USIMBA NA UYANGA!!!?ama kweli Tanzania mpira bado saana!ha!haha!ha!ha!
 
Mtani Huwezi Amni Yaani Leo Mtandao Niutumiao Umeniharibia Sana yaani.

Uwanjani Nako Mtandao Ulikuwa Ahupatikani Taabu Tupu.

Ila Aksante Kwa Dua Zako Awa Nywele Za Paka Ni Ilikuwa Bahati Yao tuuh
Pole sana rafiki Mtani. Ndio sababu nikaona kimya.

Karibu sana mwaya. Ila ndio mpira ulivyo Mtani.
 
naona baada ya kushindwa kuiwakilisha nchi mmerudi mlikokuzoea kwenye USIMBA NA UYANGA!!!?ama kweli Tanzania mpira bado saana!ha!haha!ha!ha!
Nchi bado tunaiwakilisha, timu zote mbili zina nafasi ya kusonga mbele
 
Sio Siri Mpiri Walioucheza Jana Simba ni Wa Hali Ya Juu na Kamwe Haitatokea Timu Yoyote Tanzania Kuucheza Mpira Kama hule..

[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Waarabu[/HASHTAG] Wawashukuru Wahusika Wa Uwanja Kwa Kuzimika Umeme, Venginevyo Tulikwisha Wainamia Waarabu na Tungeliwatia Goli la Tatu au Hata la NNE.

Kwahiyo tunalaani Kwa Nguvu Zote Uongozi Wa Uwanja Kwa Kuzimika na Umeme na Kutukosesha Ushindi Sisi Simba Timu pekee iliyo na Nafasi ya Kuiwakilisha Tanzania Kimataifa Kwani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Tayari amaeshaaga Mashindano na ajiandae Kuendeleza Mradi Wao Wa Kufuga [HASHTAG]#Vyura[/HASHTAG] Pale Kwenye Dimbwi la Jangwani.
 
Akili za kushikiwa hizo, Rage alishamaliza kila kitu.
 
Si ndo mana mmetoka Usukumani huko Chato na Kolomije mmekuja mjini basi mnaona kama nyie ndo wamiliki wa huu mkoa wa Dar na nchi nzima...
Poa mchambawima...wewe si ulishatoka mchambawima bas unajiona mtu kushinda wasukuma. Ndo maana nakuona mjinga tu
 
Back
Top Bottom