Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Acha uzushi wewe kwa mpira gani? Sema simba ina wachezaji wakongwe
kuliko Yanga
sisi waarabu wala hatuna tatizo si mmefanya yenu mtatukuta homeNdiyo! Tena Kalifunga Puppy Tshitahimbi Dakika ya 179 na Kuipa Al-Masry uahindi Wa Goli 3 Kwa 2 za [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG].
Yaani na huku ulikatika ujue. Ikabidi nitumie App.Najua wanatuletea Zengwe tu tusione kwenye TV hahaha
Pole sana rafiki Mtani. Ndio sababu nikaona kimya.Mtani Huwezi Amni Yaani Leo Mtandao Niutumiao Umeniharibia Sana yaani.
Uwanjani Nako Mtandao Ulikuwa Ahupatikani Taabu Tupu.
Ila Aksante Kwa Dua Zako Awa Nywele Za Paka Ni Ilikuwa Bahati Yao tuuh
Nchi bado tunaiwakilisha, timu zote mbili zina nafasi ya kusonga mbelenaona baada ya kushindwa kuiwakilisha nchi mmerudi mlikokuzoea kwenye USIMBA NA UYANGA!!!?ama kweli Tanzania mpira bado saana!ha!haha!ha!ha!
Hongera kwa lipi?Hongera wekundu.
Vyura watakoma
Kwa kutoa droo.Hongera kwa lipi?
Inasaidia nini wakati unatoka njomba?Kwa kutoa droo.
Tehteh subri marudio jombaa. Tunapta mbonaInasaidia nini wakati unatoka njomba?
Labda Manara na Rage wacheze.Tehteh subri marudio jombaa. Tunapta mbona
Akili za kushikiwa hizo, Rage alishamaliza kila kitu.Sio Siri Mpiri Walioucheza Jana Simba ni Wa Hali Ya Juu na Kamwe Haitatokea Timu Yoyote Tanzania Kuucheza Mpira Kama hule..
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Waarabu[/HASHTAG] Wawashukuru Wahusika Wa Uwanja Kwa Kuzimika Umeme, Venginevyo Tulikwisha Wainamia Waarabu na Tungeliwatia Goli la Tatu au Hata la NNE.
Kwahiyo tunalaani Kwa Nguvu Zote Uongozi Wa Uwanja Kwa Kuzimika na Umeme na Kutukosesha Ushindi Sisi Simba Timu pekee iliyo na Nafasi ya Kuiwakilisha Tanzania Kimataifa Kwani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Tayari amaeshaaga Mashindano na ajiandae Kuendeleza Mradi Wao Wa Kufuga [HASHTAG]#Vyura[/HASHTAG] Pale Kwenye Dimbwi la Jangwani.
Nyie mbona hamkuipata hacheni kukaa kwa mazoea mbona man city PSG wamepigwa kwaoInasaidia nini wakati unatoka njomba?
Acha kufananisha na vitu vya ovyo ovyo.Nyie mbona hamkuipata hacheni kukaa kwa mazoea mbona man city PSG wamepigwa kwao
Poa mchambawima...wewe si ulishatoka mchambawima bas unajiona mtu kushinda wasukuma. Ndo maana nakuona mjinga tuSi ndo mana mmetoka Usukumani huko Chato na Kolomije mmekuja mjini basi mnaona kama nyie ndo wamiliki wa huu mkoa wa Dar na nchi nzima...