Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Endelea ivoivo maana mnaweweseka na makirikiriAcha kufananisha na vitu vya ovyo ovyo.
wale watakaa huko huko....Endelea ivoivo maana mnaweweseka na makirikiri
We utakua sio mwenzetu ...mwanaume hujishtukii kuongea ivo maneno ya vidole juu...Poa mchambawima...wewe si ulishatoka mchambawima bas unajiona mtu kushinda wasukuma. Ndo maana nakuona mjinga tu
Akili za kushikiwa hizo, Rage alishamaliza kila kitu.
Punguza munkari mtoto wa kiume. Ukikaa jukwaa kuu taifa si utakufa kwa presha.Nashukuru Kwa Kujidhihirisha Kuwa Wewe ni Miongoni Mwa Walio Graduate Mirembe.
Kwahiyo nitakapobishana na Wewe nitakuwa nampigia Mbuzi gita.
sawasawa..bahati yao wameponaYaani na huku ulikatika ujue. Ikabidi nitumie App.
aaa wapiAmani umeshaikosa! I swear.
Afadhali ya Simba walijitutumua lakini wenzangu na mie wale hata Makhirikiri waliwashinda! huruma sanaGhazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.
Hahahaaa. Ndio mpira ule.Afad
Afadhali ya Simba walijitutumua lakini wenzangu na mie wale hata Makhirikiri waliwashinda! huruma sana
Hahahaaa. Ndio mpira ule.
Hahahaaa mnajifariji kwa kusema mpira unadunda eeh? Haya basi mchezo wa marudiano badilisheni matokeo kama mnaweza, katimu kama kale kangekutana na Mnyama kangeraruriwa vipandevipandeHahahaaa. Ndio mpira ule.
Hahahaaa. Na ndio itakavyokuwa.[emoji85]Hahahaaa mnajifariji kwa kusema mpira unadunda eeh? Haya basi mchezo wa marudiano badilisheni matokeo kama mnaweza, katimu kama kale kangekutana na Mnyama kangeraruriwa vipandevipande
Mwarabu mbona anafia nyumbani kwake yule, sisi tuna historia hiyo wala hatusumbuiHahahaaa. Na ndio itakavyokuwa.[emoji85]
Eti mngeirarua lol. Haya mie nasubiri mje mumrarue Mwarabu.
Mkuu nina imani dhairi shairi kwa yanayotokea sasa watakua wamekusoma. Simba ni nomaTuache ubishi kuna gap kubwa kati ya Simba na Yanga. Simba anacheza mpira mpaka raha.
Naam! Simba inazidi kuwa bora kila sikuMkuu nina imani dhairi shairi kwa yanayotokea sasa watakua wamekusoma. Simba ni noma