Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Tunapoteza muda sasa

1-1 matokeo safi

Tunaweza zone marking tunabakia nyuma ..simna mcheze long balls tu
 
Penalt simba anabebwa kishamba sana

Mwarabu lazma amnyoe mtu leo
 
Dakika ya 19-20 bado timu zinashambuliana wakati huo mchezaji mmoja wa Al masry yuko chini na anatolewa nje na watu wa huduma ya kwanza
 
members wa Jf wanavyoleta updates hapa za mechi, hawana tofauti sana na kipindi kile watangazaji wa RTD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…