Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana wa siku hizi wanasema mambo ni hivi[emoji91] [emoji91] [emoji91]aminas njoo sasa huku mambo yanakaribia kuanza.
Kabisa Dada mkeka lazima upumueLeo Mkeka wetu hauwezi chanika Kaka.
Tuwekee na majina ya kikosi cha Al masryTuwe pamoja kwa updates
View attachment 706581Wachezaji wanaingia uwanjani, muda wowote mpira utaanza..
Kikosi cha Simba
View attachment 706587
Kikosi cha Al Masry
View attachment 706516
Una bet au??Al Masry 2, Simba 1
haha mume wangu yupo YANGA mie cc RogieKwanini uwe mpweke hivyo kuishi bila timu??Njoo timu ya mumeo SIMBA
haha mume wangu yupo YANGA mie cc Rogie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aagh basi bora ubaki hivyo hivyo bila timu
Noma lazima ale mtuMnyamaaaaaaaaa
Bhana!This is Simba!
HuuTuungane watanzania wote,kuwapa support wanaojua mpira...acha mpira utende haki,kila la kheri al masry
Watanzania tupo nyuma yenu