Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah pole jamani mie sio mpenz kabisa mwenzio
Najua Leo mnaombea mnyama iwe kama Jana!Ghazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.
Kila la kheri Al Masry timu ya wananchi. Hapa Misri tunawaombea mrudi na ushindi wa kishindo. Mkipgwa tutakosa usingz hku Misri maana tangu Jana hatuli wala hatunywi.
Wananchi Wa Misri Baada ya Jana Kudonolewa Viwili ana Wabotswana mulikosa Furaha Sana Kwahiyo Mumeamua Kujifariji Kwa Waarabu ambao na Wao Yatawafika Kama Yalivyowafika Kigenge Kimoja Kinachoitwa [HASHTAG]#NdanaFC[/HASHTAG].
Jiandae na Leo kukosa tena Usingizi.
Mchawi wewAl Masry 2, Simba 1
Hahahaaa. Mie nipo upande wa pili.Mkuu unapenda Simba kama mie au uko upande wa Makirikiri unataka uone tu tunavyokula tende saa moja ijayo?
Wananchi Wa Misri Baada ya Jana Kudonolewa Viwili ana Wabotswana mulikosa Furaha Sana Kwahiyo Mumeamua Kujifariji Kwa Waarabu ambao na Wao Yatawafika Kama Yalivyowafika Kigenge Kimoja Kinachoitwa [HASHTAG]#NdanaFC[/HASHTAG].
Jiandae na Leo kukosa tena Usingizi.
Yaani! Sitaki kukumbuka rafiki.Haaaaaaaaa umechezeshwa makirikiri mpendwa?
Pole,leo tunaenda kula zawadi tende tulizoletewa,karibu mtani tule tende upunguze uchovu maana makirikiri kuicheza si kazi ndogo loool
Hahahaaa. Umeonaeeeee.Najua Leo mnaombea mnyama iwe kama Jana!
Najiamini leoMkuu kuwa makini yasije kukumba yale ya Mbao😀😀😀😀😀
Leo nitalala kwa amani kwa kuwa Simba wanafungwaJiandae Kisaikolojia na Leo Kukosa Furaha kama ulivyokosa Jana
Leo Mkeka wetu hauwezi chanika Kaka.Najiamini leo