Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Kila la kheri Al Masry timu ya wananchi. Hapa Misri tunawaombea mrudi na ushindi wa kishindo. Mkipgwa tutakosa usingz hku Misri maana tangu Jana hatuli wala hatunywi.

Wananchi Wa Misri Baada ya Jana Kudonolewa Viwili ana Wabotswana mulikosa Furaha Sana Kwahiyo Mumeamua Kujifariji Kwa Waarabu ambao na Wao Yatawafika Kama Yalivyowafika Kigenge Kimoja Kinachoitwa [HASHTAG]#NdanaFC[/HASHTAG].
Jiandae na Leo kukosa tena Usingizi.
 
tambiko.jpg

Kwahivi ushindi upo ehh lazima Mwarabu apigwe asiametufunza mwenyewe kuomba dua
 
Simba taifa kubwa. Mnyama chakaza mwarabu huyo arudi jangwani na ngamia wake
 
this is simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pigaaaa waarabu goli 3+
 
Wananchi Wa Misri Baada ya Jana Kudonolewa Viwili ana Wabotswana mulikosa Furaha Sana Kwahiyo Mumeamua Kujifariji Kwa Waarabu ambao na Wao Yatawafika Kama Yalivyowafika Kigenge Kimoja Kinachoitwa [HASHTAG]#NdanaFC[/HASHTAG].
Jiandae na Leo kukosa tena Usingizi.
 
uchawi.jpg

Leo lazima wafe tu kwa miti shamba au kwa kitabu this is siiimbaaa
 
Back
Top Bottom