Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Leo ushindi ni lazima kwa Simba Sports Club.
Hukuna mjadala.
 
Sijambo kabisa Mtani rafiki.

Ahsante sana mwaya. Nishakaribia mie na nitakuwepo hapa mpaka mwisho.
Uwepo Dear uku Ukiishangilia Watani Wako Tupate Ata Timu Moja ya Kupandaga Ndege Kila Mechi.

Leo Si Simba Na Nywele Za Paka Bali Tanzania Na Nywele Za Paka.
 
Uwepo Dear uku Ukiishangilia Watani Wako Tupate Ata Timu Moja ya Kupandaga Ndege Kila Mechi.

Leo Si Simba Na Nywele Za Paka Bali Tanzania Na Nywele Za Paka.
Hahaaaa. Ntajitahidi mtani wangu.

Kweli leo ni Tanzania na Nywele za paka lol. [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom