Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mod yangaHiyo ni update mkuu, jipe moyo kibao huenda kikageuka.
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mod yangaHiyo ni update mkuu, jipe moyo kibao huenda kikageuka.
Vv
Mnyama anashinda hii mechiWaone wamekata umeme huku aisee tusione mnyama akifungwa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Woooiii.....baadae sanaMnyama anashinda hii mechi
Najua wanatuletea Zengwe tu tusione kwenye TV hahahaDuuh pole sana kaka ake.
Dk ya 60 bado mambo yako vile vile.
Huku manyunyu tu no signal tumehamia kwenye redioClimate inazingua balaaaa....Azam haijatulia kabisa
Hahahaah ndioWoooiii.....baadae sana
WamesahauNawaona vyura mnavojisahaulisha matokeo yenu na makirikiri
Al masry wamefanya uwekezajii mkubwaa Sana'a....though simba anacheza mpira mzuriSimba ni wa Matopeni tu so hawez mfanya lolote Al masry
Nawaona vyura mnavojisahaulisha matokeo yenu na makirikiri
Hamuendi mbali mkuu lakiniHahahaah ndio
SawaHamuendi mbali mkuu lakini
Utoe comments mpaka mwishoMnyama anashinda hii mechi