Ushindi ni jadi yetu... Asante emmyta kwa kuwa pamoja. Sisi moja wao bila.Mpira wenyewe ushaisha huu.
Simba bhana.... dah!Mpira wenyewe ushaisha huu.
Mngoje tu huyo Panadol mkaangalie marudio ya mpira....tehe tehe teheeeMpira wenyewe ushaisha huu.
Roho mbaya hiyo mjukuu...Hahaahaaaaa. Kutamani kumeshakwisha Babu.
Hahaaa. Ila nyie bado sanaaaa. Kagoli kamoja tu Mtani?Ushindi ni jadi yetu... Asante emmyta kwa kuwa pamoja. Sisi moja wao bila.
This is Simba...
WoooooozaaaaaaaUshindi ni jadi yetu... Asante emmyta kwa kuwa pamoja. Sisi moja wao bila.
This is Simba...
Hahaa. Okwii bana. [emoji17]Simba bhana.... dah!
Hahahaaa. Na kweli aiseee.Mngoje tu huyo Panadol mkaangalie marudio ya mpira....tehe tehe teheee
Vipi mkuu mbona utabili wako umekuwa kinyume!!!Simba anapigwa bila huruma.Mwisho wa ligi
1.YANGA
2.SIMBA
3.AZAM
Mmh. Dada. [emoji15]Woooooozaaaaaaa