Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Huwa nakuwa busy na kuangalia me mnya damu ikifungwa hata chakula hakipitiSijakuona dada yangu nkajua we Simba lia lia yaani mpira ukichezwa huwezi kufanya chochote mpaka uishe. Hahahaaaa.
Ila hongera sana dada ake. [emoji122] [emoji122] [emoji122]