Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

Sijakuona dada yangu nkajua we Simba lia lia yaani mpira ukichezwa huwezi kufanya chochote mpaka uishe. Hahahaaaa.

Ila hongera sana dada ake. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Huwa nakuwa busy na kuangalia me mnya damu ikifungwa hata chakula hakipiti
 
Mwaka huu mikia imepania! Inaenda kukumbana na mikosi ya Wakara nyie subirini mje mjiinee!
 
Simba kwa kweli imekamilika. Kwasi, Nyoni ni zaidi ya mabeki.
 
Kumbe Magoli Ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] ni Sawa na Points Zote za [HASHTAG]#AzamFC[/HASHTAG]!! 😀 😀 😀



Yani [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] hawapendi Hata Kidogo kuona Hichi Kitu! 😀 😀 😀
 
Kweli Huu ni Mwaka Wa Raha Kwa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] 😀 😀 😀

Yani Magoli ya [HASHTAG]#Okwi[/HASHTAG] tu Ni Sawa na Points Zote za #
NjombeMji au [HASHTAG]#KageraSugar[/HASHTAG]



#
Ndala hawapendi Kabisa Kuona Hichi Kitu 😀 😀 😀
 
kwasi amempita ajibu kwa magoli?
 
Simba kwa kweli imekamilika. Kwasi, Nyoni ni zaidi ya mabeki.
Umemuacha na Mlipili.
Ila Nyoni Kifaa Kweli Kweli.
Kichuya Jamani Uwanja Wote Wake Kaa Anacheza Mwenyewe
Kapombe Nae Daah!
Mkude, Ndemla Ndo Hatari Pale Kati Walikaa Vyema.
Bocco Alisimama Vyema Uku Akionea Huruma ExTimu Yake
Okwi Lol!! We Mtu Nisiseme Sana
Manura Unaendelea kulilinda Lango Lako Vizuri Sana Mwishoni Ukaenda Kumpa Mkono Yule Kipa wa Ice cream Akakutolea Nje Akajifanya Analia Mambo Yalimwendee Magumu Mpaka Akaamua Kwenda Kusaidia Pale Kati .

Yote ya Yote Vijana Mmejitahidi Sana Mola Azidi Kuwatangulia Siku Zote Na Muweze Kutimiza Kila Lililo Mioyoni Mwenu na Mioyoni ya Mashabiki.

HONGERA WACHEZAJI,HONGERA SIMBA.
 
Tayari Tumeshaprove Ubora Wetu vipi bado unawasiwasi Na Performance ya Simba?

By the way! Pia tumeprove kuwa Bila ya Malinzi kuwepo TFF basi Simba haina Mpinzani Hapa Tz.
Hahaaa. Haya bana. Hongereni.
 
Mzee utakuja kufa hujaanza kuandika hata mirathi
Unaacha mkeo kusubiri simba afungwe
Hahaha nyie vijana bhana... kumbe hata lugha za mafumbo zinawapiga chenga kirahisi hivi?

Nakusalimia mjukuu wangu emmyta popote pale ulipo. Okwi kanambia nikuamkie "shkamoo" badala yake
 
Hahaha nyie vijana bhana... kumbe hata lugha za mafumbo zinawapiga chenga kirahisi hivi?

Nakusalimia mjukuu wangu emmyta popote pale ulipo. Okwi kanambia nikuamkie "shkamoo" badala yake


Hahaaa. Nimeshaitikia Marhabaa. Ila mwambie awache hizo mambo za kutukosesha amani.
 
Hahaaa. Nimeshaitikia Marhabaa. Ila mwambie awache hizo mambo za kutukosesha amani.
Ntamwambia. Ila mnamchokoza wenyewe. Mnapoifunga timu inayoshuka daraja msiwe mnamsumbua na kelele zenu. Mkitulia hatawaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…