Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

Lakini umeshachelewa Kwa Leo! Labda ujalibu siku nyengine...
Kwasasa Simba Hakuna Kwenye Uwezo Wa Kuiombea Baya lolote Kwani Anararua Kila anayemkalia Mbele.
hahahahahahaha mkuu kumbe ww ni zimbaaaaa?!!!!!!
 
Mikia/Mezani FC mmejipanga toka Tifu Tifu mpaka Msimbazi...


Bado Hujamaliza! Na Kwenye Usajili pia tumejipanga si umeona wanachokifanya Okwi na Bocco Hata [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] a.k.a [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Munakijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…