Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

Simba itashinda tu kama kawaida wazee was 4G
Huku bocco
Okwi
Azam hachomoki .........[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Leo ni vita kati ya kinara wa ligi kuu, Simba dhidi ya wanalambalamba wanaotaka kurejea nafasi ya pili baada ya jana Yanga kuikwea. Azam anahitaji ushindi ili kurejea nafasi ya pili pia ushindi utapunguza utofauti kati yake na kinara wa ligi.

Upande wake, Simba anahitaji ushindi kujiimarisha kileleni ambapo zitakuwa alama saba kati yake na Yanga kama Azam atapoteza mchezo wa leo. Kuwa nami mishale ya saa kumi kukujuza kitachojiri uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

=======
wacha wafu wazikane wenyewe leo, "jamaa" atapita katikati yao very soon. Wait n see.
 
Leo ni vita kati ya kinara wa ligi kuu, Simba dhidi ya wanalambalamba wanaotaka kurejea nafasi ya pili baada ya jana Yanga kuikwea. Azam anahitaji ushindi ili kurejea nafasi ya pili pia ushindi utapunguza utofauti kati yake na kinara wa ligi.

Upande wake, Simba anahitaji ushindi kujiimarisha kileleni ambapo zitakuwa alama saba kati yake na Yanga kama Azam atapoteza mchezo wa leo. Kuwa nami mishale ya saa kumi kukujuza kitachojiri uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

=======
Dude litateleza kwenye ice-cream na kuvunja ugoko mapema tu.
 
kama kuna mwananchi mwenye link ya kuweza kuangalia mpira wa timu hizi, tafadhali tunaona aturushie hapa nasi tushangae shangae .
Asante .
 
Back
Top Bottom