Nimekuja mimi huu uitaji wa leo sijui kama wa heri
Hahaaa. Kwa nini dada mie nawapenda Watani zangu hivyo sipendi kusikiliza mwenyewe pasi mpinzani pembeni yaani mpira unakosa ladha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimekuja mimi huu uitaji wa leo sijui kama wa heri
Mmh dada sidhani kama kuna heri ebu ngoja tuoneHahaaa. Kwa nini dada mie nawapenda Watani zangu hivyo sipendi kusikiliza mwenyewe pasi mpinzani pembeni yaani mpira unakosa ladha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaaa. Haya dada.Mmh dada sidhani kama kuna heri ebu ngoja tuone
Bado uko Mbao FC? emmyta[emoji3][emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie pia niko Mbao leo Kaka. [emoji85]
Marafiki zangu watani mtanisamehe.
Hahaaa. Mtaniiii.Bado uko Mbao FC? emmyta
Asanteeeeee babe wangu okwiiiiiiiii