Uwanja wa Taifa: Simba SC 5-0 Mbao | Ligi Kuu Soka Tanzania Bara | 26/02/18

Uwanja wa Taifa: Simba SC 5-0 Mbao | Ligi Kuu Soka Tanzania Bara | 26/02/18

Nimekuja mimi huu uitaji wa leo sijui kama wa heri
Hahaaa. Kwa nini dada mie nawapenda Watani zangu hivyo sipendi kusikiliza mwenyewe pasi mpinzani pembeni yaani mpira unakosa ladha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaaa. Kwa nini dada mie nawapenda Watani zangu hivyo sipendi kusikiliza mwenyewe pasi mpinzani pembeni yaani mpira unakosa ladha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mmh dada sidhani kama kuna heri ebu ngoja tuone
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooolll
 
Okwi Apige Jamniii Liwe La Kumi Na Tanoooo
 
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mimi nili isi mtangazaji amechapia au mnazi...
 
Back
Top Bottom