Vipi uliweka pesa au ulitania tu!La 3 bado 2...Leo 5G
Mbao wababe wakiwa mwanza tu. huku kwingine wepesi mpaka wanakera5-0 Nicolas Gyan
Fuatilia page one ya uzi huuTuwekeeni wafungaji
Utabiri wangu umetimiaGoooooo 5:0
Asante mkuu nimepataFuatilia page one ya uzi huu
Naona dua zako zimesikikaKila la heri MBAO FC
Hahaha Mzee wa stake mlima..nakuelewa sana kaka!Vipi uliweka pesa au ulitania tu!
Nataka nikusindikize kuchukua chako kwa mhindi
Hicho ndio kikosi cha billion 1.3 ulichokua unakibeza sasa speed imechanganya mwaga moto babaManunuzi FC.
Kunywa sumuManunuzi FC.
Pole sana kijanaKila la heri MBAO FC
Hahahaha pole kama ulibetiMie nipo hapa sibanduki hata aiseee. Hadi nione mwisho wa mtani wangu kama ataweza kuiranda mbao.