Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka leo boko hakuwapo.Manunuzi FC.
Naomba matokeo mkuuMnyaaaaamaaaaa![]()
Inakukuna vilivyo eti ehh!!Simba inanipa raha mm
Na kule Nagwanda hawana uhakikaWale wenzetu wamenuuuuuuuunaa.
Simba 5-0 mbaoNaomba matokeo mkuu
Shunie unasemaje,leo nimepiga mbiliSimba inanipa raha mm
Yaan inanikuna pale pale kunakoInakukuna vilivyo eti ehh!!
Daz baba kwa sifuriNaomba matokeo mkuu
Ulibeti?La 3 bado 2...Leo 5G
Pole sanaKila la heri MBAO FC
Muda muafaka wa kuwakumbusha maana hawako mbali mechi ya marudiano. Wakae chonjo!Hzo 5G msidhani tumemanisha kuwapiga mbao bali tunajaribu kuwakumbushia wanafura fc msisaha deni letu 5G
Kila la kheri yako imegeuka nuksi...Kila la heri MBAO FC