Uwanja wa Taifa: Simba SC 5-0 Mbao | Ligi Kuu Soka Tanzania Bara | 26/02/18

Wale wenzetu wamenuuuuuuuunaa, mashauri Mnyama akicheza muwe na PANADOL kwenye mifuko yenu, ni full maumivu tu mpaka ndoo inachukuliwa.
 
Hzo 5G msidhani tumemanisha kuwapiga mbao bali tunajaribu kuwakumbushia wanafura fc msisaha deni letu 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…