Nimekuja mama, nimeambiwa umeniita eti...
Mi nlishakusamehe na nimeshasahau kabisaaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie pia niko Mbao leo Kaka. [emoji85]
Marafiki zangu watani mtanisamehe.
Yanga haitwishwi.Muda muafaka wa kuwakumbusha maana hawako mbali mechi ya marudiano. Wakae chonjo!
Bebwa na weweWakubebwa FC na TIFUTIFU.
Nimesisimka damu..Yaan inanikuna pale pale kunako
Hajatishwa, kapewa salamu tu.Yanga haitwishwi.
Mie nipo hapa sibanduki hata aiseee. Hadi nione mwisho wa mtani wangu kama ataweza kuiranda mbao.
Wakubebwa FC na TIFUTIFU.