Ndo mana watu wamenuna[emoji23]Simba 5-0 mbao
Hahahah umetisha kinowiseeeDaz baba kwa sifuri
Duuhh we mtu ni shidaTulia mkuu mnyama ananoa kucha Leo MTU anapigwa mkono
Hata aibu hunaManunuzi FC.
Hahahaaaaa.Hahahaha pole kama ulibeti
Nyie ile rufaa yenu FIFA vipi mbona rais alikuwepo nchini? Ndio maana Rage anawaita mbumbumbu.Simple! Mrudisheni Malinzi Tiefuefu ili awape tena Ubingwa wenu alioondoka nao Wa Magoli ya Mikono.
Huku Tanga tunamuitwa jiOkwi
tatizo unakariri sana wewe UlimakafuNyie ile rufaa yenu FIFA vipi mbna rais alikuwepo nchini? Ndio maana Rage anawaita mbumbumbu.
[emoji19] [emoji19] [emoji19]Kila la kheri yako imegeuka nuksi...
asantePole sana
sawa bossPole sana kijana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Naona dua zako zimesikika
duuuh yameishaBado unawaombea kila la kheri [emoji23] [emoji23]
Daaaah mkeka umechanika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie pia niko Mbao leo Kaka. [emoji85]
Marafiki zangu watani mtanisamehe.
Yaani mbao wamenichefua Sana sijui wamekula maharagwe ya wapi Kama mataahila vile mende wa chooni wale msiiiiiiiiiiieeeeewDaaaah mkeka umechanika
hatari sana yaaniYaani mbao wamenichefua Sana sijui wamekula maharagwe ya wapi Kama mataahila vile mende wa chooni wale msiiiiiiiiiiieeeeew
bil kukariri utafauluje?tatizo unakariri sana wewe Ulimakafu
Mie Simba ila umenichekesha sana, kwamba rais wa FIFA alikuwepo bongo kwanini hatukumpa rufaa yetu. Kwani wewe unajuaje kuwa hatukumpa.Nyie ile rufaa yenu FIFA vipi mbona rais alikuwepo nchini? Ndio maana Rage anawaita mbumbumbu.
Ha haaa mtani, kweli mwaka huu umejipanga toka TFF mpaka Msimbazi...Karia, Wambura, Kidau, Ndimbo et al.Mie Simba ila umenichekesha sana, kwamba rais wa FIFA alikuwepo bongo kwanini hatukumpa rufaa yetu. Kwani wewe unajuaje kuwa hatukumpa.
Hata hivyo tunalifukuzia kombe kwa nguvu zote inabidi tusitishe rufaa zote kwanza, hahaha