Uwanja wa Taifa: Simba SC 5-0 Mbao | Ligi Kuu Soka Tanzania Bara | 26/02/18

Uwanja wa Taifa: Simba SC 5-0 Mbao | Ligi Kuu Soka Tanzania Bara | 26/02/18

This is simba buana [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Hawa Simba bhana wasije shindwa kulala kisa vitanda vya mbao.
 
Sawa wewe ni Emmanuel lakini sio okwi halaf hunipi raha ya simba kama anavyonipa okwi
Ila nmekuelewa kinyamaa mummy!! Achana na masuala ya akina okwi bhana maake tayari tushashinda mechi
 
mbao tena
 

Attachments

  • IMG_20180226_165632_328.JPG
    IMG_20180226_165632_328.JPG
    32.8 KB · Views: 32
Endelea kuchana mnyama, vikitoka vipande 6 sawa sawa tu. Wakaezeke kwao.
 
Back
Top Bottom