Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Kesho kuna mechi kati ya stars na nigeria pale kwenye uwanja wa taifa uwanja tulioambia mambo ya kisiasa marufuku.
Ingawa mpaka sasa TFF hawajasema nani atakua mgeni rasmi lkn nina mashaka kuna mgombea mmoja wa urais atakua ndio mgeni rasmi na hapa ndio pale wale waliosema mambo ya kisia hayaruhusi watakapokua wamemeza ndimi zao.
Tusubiri tuone na kama mgombea huyo ninaemuhisi ndio atakua mgeni rasmi natanga rasmi zile silaha nilizoweka chini kuiunga mkono timu naziinua juu mwanzo mwisho nakua mnigeria na tukitoka sio chini ya goli 3