Elezea vizuri mkuu, mbona habari kama ina-hang?
Taarifa za uhakika zinasema uwanja huo unakarabatiwa kwa kujenga jukwaa la ghorofa mbili kuanzia eneo lililopkuwa green stand hadi kwenye mzunguko wote..(kwa walalahoi) ili litakapokamilika watu wengi zaidi wapate fursa ya kuketi kwa raha zao wakiwa uwanjani hapo. Kwa sababu hiyo uwanja huo sasa umefungwa kwa muda hadi kazi hiyo itakapokamilika.
Nani anyefanya funding ya mradi huo?
Je ni TFF?...Wizara husika?...Na je ndiyo kipaumbele kwa sasa?...kuna uharaka huo wa uwanja kupanuliwa ukilinganisha na mahitaji mengineyo hata ndani ya wizara hiyohiyo?
Je si watu wachache wameamua kujipatia maisha kwa njia hiyo?
Kumbukumbu zangu pia zinasema kuwa uwanja huo wa Uhuru ni sehemu ya Historia ya nchi, na utabaki kama ulivyo!

jamma anajitahidi kutimiza ilani ya vya siasa alianza na ya chadema sasa anatimiza APPT Maendeleo
Hata kama kuna uharaka, kwa nini watanzania tuna akili mbovu zinazofikiria kukarabati vitu vile vile tena kwa gharama sawa na kujenga uwanja mwingine mpya? Kwa nini tusifikirie kuongeza viwanja vingine vipya sehemu mbalimbali za nchi yetu ili kunapokuwa na mashindano timu zisipate taabu ya viwanja? Uwanja wa uhuru uko pua na mdomo na uwanja wa taifa, kwa nini tuendelee kuwazia kupanua uwanja wa uhuru wakati kuna uwanja mzuri hapohapo unaoweza kutumika kama tutaona kuwa uwanja wa uhuru unazidiwa uwezo?
Nani anyefanya funding ya mradi huo?
Je ni TFF?...Wizara husika?...Na je ndiyo kipaumbele kwa sasa?...kuna uharaka huo wa uwanja kupanuliwa ukilinganisha na mahitaji mengineyo hata ndani ya wizara hiyohiyo?
Je si watu wachache wameamua kujipatia maisha kwa njia hiyo?
Kumbukumbu zangu pia zinasema kuwa uwanja huo wa Uhuru ni sehemu ya Historia ya nchi, na utabaki kama ulivyo!
National Stadium (Dar Es Salaam)Nimepita leo asubuhi, jukwaa la kijani limeshaporomoshwa chini, na tingatinga linaendelea kubomoa!
Nakumbuka uwanja huu uliachwa kwa nafasi yake katika historia ya UHURU wa Tanganyika, ndio maana Wachina wakajenga uwanja mpya pembeni.
Huyu aliyeamua ubomolewe; hata kama ni Magufuli, atuambie ametumia sheria ya mwaka gani?
TFF siyo uwanja wao hivyo ukuu panua hawawezi...Pamoja na hayo je wizara au TFF kama wameamua kuupanua kiasi hicho, je hakuna maeneo mengine nchi hii ambayo hayahitaji viwanja?
Kwa nini kubanana Dsm wakati maeneo mengi tu ya nchi hii hakuna viwanja....sijui ni lini serikali itajua vipaumbele
Kinyesi!Hata kama kuna uharaka, kwa nini watanzania tuna akili mbovu zinazofikiria kukarabati vitu vile vile tena kwa gharama sawa na kujenga uwanja mwingine mpya? Kwa nini tusifikirie kuongeza viwanja vingine vipya sehemu mbalimbali za nchi yetu ili kunapokuwa na mashindano timu zisipate taabu ya viwanja? Uwanja wa uhuru uko pua na mdomo na uwanja wa taifa, kwa nini tuendelee kuwazia kupanua uwanja wa uhuru wakati kuna uwanja mzuri hapohapo unaoweza kutumika kama tutaona kuwa uwanja wa uhuru unazidiwa uwezo?