Uwanja wa Taifa | Vodacom Premier League: Simba SC 3 - 0 Mwadui FC

Uwanja wa Taifa | Vodacom Premier League: Simba SC 3 - 0 Mwadui FC

Simba leo wanacheza hovyo..
Pale.mwisho maamuzi ya pasi ya kuelekea mwisho yanachelewa;
Offside zinakua nyingi
 
Boko inabid awe anajiongeza kdg off side zimezd sana
 
Mpira Ni wa kushambuliana hususani eneo la katikati kwakila timu
 
Back
Top Bottom