Matunzo gharama nyasi za bandia ,nyasi za kawaida unamwagilia maji taka mbolea tosha kabisa ,hapo wanakwepa gharama ukizingatia uwanja wenyewe unavyodekeshwa kutumiwa pesa zitatoka wapi ,Mwonekano wa Uwanja wa Mpira wa Taifa Jijini Dar es Salaam Ukipandwa nyasi mpya na si za bandia.
Hivi zipi nzuri? Maana mimi nilidhani hizi bandia ndo nyasi nzuri maana ni vigumu uwanja kuchimbika mashimo mashimo na muda wote uwanja unakuwa umenyooka.
View attachment 576632
View attachment 576634
Uwanja Wa taifa au Uhuru !!??Uwanja wa Taifa mbona ulikuwa na nyasi halisi.
Sema labda wanaweka nyasi bora zaidi.
Nyasi kwa kawaida Zina muda wakutumiwa na kuchakaa hivyo ungolewa na kupandwa upya ataa zile za mifugo au wanyama porini kuna wakati wanachoma moto ili ziote upyaKiongozi kushindwa kutunza nyasi huo ni ujinga wa hali ya juu, wanapata pesa nyingi sana, gharama ya kisima cha maji na kuwalipa watu wawili kwa ajiri ya kuhudumia nyasi za uwanja sio kitu TFF au wizara ya michezo wanaweza kushindwa, ziwe nyasi bandia au halisi, wakishindwa kuzitunza viongozi wafungwe jela.
Ni uwanja wa taifa na sio Uhuru.Uwanja Wa taifa au Uhuru !!??
Mtoa mada kavurugwa uwanja wa taifa haujawahi kuwa na nyasi bandia, uhuru ndio kuna nyasi bandiaMatunzo gharama nyasi za bandia ,nyasi za kawaida unamwagilia maji taka mbolea tosha kabisa ,hapo wanakwepa gharama ukizingatia uwanja wenyewe unavyodekeshwa kutumiwa pesa zitatoka wapi ,
Siyo nyasi bandia bali wanatoa nyasi za muda mfupi na kuweka za muda mrefu kwani zilizopo ubora wake umekwisha hivyo kuondoa tatizo hilo la kubadili nyasi kila baada ya muda mfupi ni gharama na hasara kwa taifa hivyo ni bora zipandwe za muda mrefu, nyasi bandia zipo uwanja wa uhuru.Mwonekano wa Uwanja wa Mpira wa Taifa Jijini Dar es Salaam Ukipandwa nyasi mpya na si za bandia.
Hivi zipi nzuri? Maana mimi nilidhani hizi bandia ndo nyasi nzuri maana ni vigumu uwanja kuchimbika mashimo mashimo na muda wote uwanja unakuwa umenyooka.
View attachment 576632
View attachment 576634