Mwonekano wa Uwanja wa Mpira wa Taifa Jijini Dar es Salaam Ukipandwa nyasi mpya na si za bandia.
Hivi zipi nzuri? Maana mimi nilidhani hizi bandia ndo nyasi nzuri maana ni vigumu uwanja kuchimbika mashimo mashimo na muda wote uwanja unakuwa umenyooka.