Hahahaaaaaa. KabisaaaaaSisi kimatendo zaidi
Umenikumbisha na Bantu ladyAmsha amsha lakoo linanikumbisha nifaah...muiteniii hukuuu
Ongeza sauti, bado hujasikikaFuraha ya muda
AminaMungu ibariki timu yangu pendwa, Dar es salaam Young Africans
Kila la kheri timu yangu nisiyochoka kukushangilia iwe kwenye ushindi, sare au hata kufungwa.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Aaah. WapiFuraha ya muda
Tumeshaanza mdogo mdogo nadhani kauli yangu imeanza kufanya kazi, nilishaisoma Yanga kiundani sana, ni timu nzuri kuliko hata mikia fc. Nasema tena Yanga anacheza soka la mpango na Leo atashinda 3 - 1Hamna Ushindi Nyinyi
AmenMungu ibariki timu yangu pendwa, Dar es salaam Young Africans
Wanajidanganya hawa yeboyeboWabotswana Leo Hawamuachi Mtu Salama! Trust me..
Tupo Mkuu mie huwa sijuagi kukimbia.Wabotswana Leo Hawamuachi Mtu Salama! Trust me..
Usikimbie uzi. Naomba tuwe pamojaWabotswana Leo Hawamuachi Mtu Salama! Trust me..
Usikimbie mkuu uwepo mpaka mwisho Leo ushindi kwa Yanga na lazima ipite haya mashindano, goli la ugenini sio kigezo cha Yanga kutolewaKandambili hamfiki popote! Kumbuka jamaa wanagor LA ugenini! Kandambili hoeeeeeeeeeee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] duuh.Ila game hii ngumu kinyama bora tupaki basi tu kama Mourinho [emoji23][emoji23][emoji23]
Kashapaniki tayar! Atotoka muda cmrefuObrey Chirwaaaaa
Sisi kimatendo zaidi
Msije kuukimbia uziWanajidanganya hawa yeboyebo
Kweli ila tuombe sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] duuh.
Wacha tupambane tu mpaka mwisho.