Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Halafu Kitendo Alichofanywa Puppy Kapandwa Shishibibi Na Mfungaji Wa Hule Mgoli Wa [HASHTAG]#Township[/HASHTAG] na Kutinga Nyavuni Naamini Puppy Hatokisahau! 😀 😀 😀

Yani Kafinywa Mchenga Wa Karne 😀 😀 😀 😀
 
Second Half imeanza! Wacha Nimuone [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] anavokufa..
 
Hahahaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.

Ila kweli anatusaidia mno.
Huyo bwana upara ndio engine ya Yanga siku akikosekana ni either mgawane point au mwache point 3 mezani......

Kocha wenu alifanya jambo la maana sana kwenda kumfuta zambia katika kilimo cha mahindi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hawa Commentators Wa Kibongo Bhana! eti Mchezaji Hakuwa na dhamira ya Kuugusa Mpira Bali Mpira Ndiyo uliofuata Mikono Kwahiyo Siyo Penalty! 😀 😀 😀
Kwani Ukitoa Goal Keepers ni Mchezaji Gani anayedaka Kwa Makusudi?? Wote si Wanadaka Kwa Bahati Mbaya!!!!
 
Back
Top Bottom