Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Hahahaaa. Si umeona kama tulivyokomboa wote wamekimbia wamebaki wachache wanaojifariji. LolMsije kuukimbia uzi
Kweli kabisa.Kweli ila tuombe sana
nipo, hamtoki kwa Moira huu! Mkijitahidi sare,Usikimbie mkuu uwepo mpaka mwisho Leo ushindi kwa Yanga na lazima ipite haya mashindano, goli la ugenini sio kigezo cha Yanga kutolewa
Nipo hapa kwa niaba yako kufuatilia mtanange huu wa soka[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mjitekenye wenyewe. Sisi hatufanyi masikhara tunapita. Endeleeni kusema tusahau
Bado mpira haujaishaHata hivyo matokeo ya moja moja yanawafavour hawa jamaa na sio sisi [emoji24][emoji24][emoji24]
Wataondoka wote. We waacheHahahaaa. Si umeona kama tulivyokomboa wote wamekimbia wamebaki wachache wanaojifariji. Lol
Hahahaaa. Karibu sana Kaka Mtani.Nipo hapa kwa niaba yako kufuatilia mtanange huu wa soka
Mlifanya kosa kubwa sana kuruhusu goli.Hata hivyo matokeo ya moja moja yanawafavour hawa jamaa na sio sisi [emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu haya mambo ni kawaida sana. Kwani msimu uliopita ungeweza kuniambia maneno haya.? Kuanzia kwenye EPL, UEFA mpaka hapa bongo kwenye VPL. Kwa hiyo ni hali ya kawaida kwenye mpira.Halafu Una Mkosi Kweli Mwaka Huu! π π π
Kula Ughaibuni Unadonolewa tu! Na Huku Uchawini unapenda [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] inayogawa uroda Kwa Hawa [HASHTAG]#Township[/HASHTAG]!
Dah! Mungu Akusaidie...!
Half time sasa MkuuMkuu haya mambo ni kawaida sana. Kwani msimu uliopita ungeweza kuniambia maneno haya.? Kuanzia kwenye EPL, UEFA mpaka hapa bongo kwenye VPL. Kwa hiyo ni hali ya kawaida kwenye mpira.
We unajua mpira, wengi niwapiga zumari tu humu! Mtakimbia Uzi muda so mrefuHata hivyo matokeo ya moja moja yanawafavour hawa jamaa na sio sisi [emoji24][emoji24][emoji24]
Hadi 45 ' zimekwisha nadhani huna gemu ngumu sana.. Huenda ukaibuka na ushindiHahahaaa. Karibu sana Kaka Mtani.
Leo zamu yangu nitanie mpaka uchoke sababu unamjua emmy ambavyo huwa anakutania hadi dk ya mwisho.