Oxygen gas
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 247
- 235
Kwa vigezo gani?yanga wasipopita kwenye makundi na mwaka huu bora washuke daraja tu
Na wao watafanya kosa kama hilo kwaoMlifanya kosa kubwa sana kuruhusu goli.
Duuh! Bado tuna kazi ngumu sana kufikia hiyo hatua ya kushinda. Japokuwa upande wa pili naamini kwamba Ushindi upo.Hadi 45 ' zimekwisha nadhani huna gemu ngumu sana.. Huenda ukaibuka na ushindi
mgoli wa yanga ulikuwaje?..wengine tunachoma mkaa urambo huku..tupo mbali na tvHalafu Kitendo Alichofanywa Puppy Kapandwa Shishibibi Na Mfungaji Wa Hule Mgoli Wa [HASHTAG]#Township[/HASHTAG] na Kutinga Nyavuni Naamini Puppy Hatokisahau! π π π
Yani Kafinywa Mchenga Wa Karne π π π π
Mfungwe tuDuuh! Bado tuna kazi ngumu sana kufikia hiyo hatua ya kushinda. Japokuwa upande wa pili naamini kwamba Ushindi upo.
Hahaaaa. Teh teh teh. Majibu mubashara hayaNa wao watafanya kosa kama hilo kwao
Hahahaaa. Dada unasahau kwamba kuna usemi usemao "dua la kuku halimpati mwewe"Mfungwe tu
mgoli wa yanga ulikuwaje?..wengine tunachoma mkaa urambo huku..tupo mbali na tv
Mtaani nyie bila Obrey Chirwa ni kama nyuki wa mashineni hamna madhara kabisa......Duuh! Bado tuna kazi ngumu sana kufikia hiyo hatua ya kushinda. Japokuwa upande wa pili naamini kwamba Ushindi upo.
Hahahaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.Mtaani nyie bila Obrey Chirwa ni kama nyuki wa mashineni hamna madhara kabisa......
Aminia mzee babaDumisha mbele nyuma mwiko dadake
Sawa tuko pamoja mkuuHalf time sasa Mkuu
Huyo bwana upara ndio engine ya Yanga siku akikosekana ni either mgawane point au mwache point 3 mezani......Hahahaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.
Ila kweli anatusaidia mno.
Umeonaeee. Hatubanduki.Tupo hata tukipigwa bado tupo
Na ushindwe ulegee na kunyong'onyeaMfungwe tu