Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

jaman hamna kwenye link ya kustream si wengine tuna startimes
 
He mbona kuna Myanga alitoa povu hapa anamtaka Baby Shimbi,mbona yumo ndani kwa mujibu wa Uzi huu!
 
Tuwe pamoja
Muda wowote kutoka hivi sasa mpira utaanza

View attachment 706050

0' Mpira unaanza

1' Ajib anapanga shambulizi golini ila linadhibitiwa

2'Yanga wanaliandama lango la township rollers, Kessy anapiga mshuti lakini unatoka nje

04' Township wanajibu mashambulizi, straiker amebakiwa na GK lakini ameshindwa kufungwa.

05' Yanga wanafanya counter attack lakini inafeli

06' Township wanapanga mashambulizi na Yanga wanafanya mashambulizi. Ni piga nikupige

07' Chirwa anakwenda lakini anakuwa off side.

10' Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

12' Town wanapata kona baada ya kuendeleza mashambulizi kwenye lango la Yanga.
Kafunga nani jina lake??
 
Back
Top Bottom