Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Usisikitike sana ndio mpira ulivyo..hata hivyo bado nafasi IPO..Hamna kitu ila nimejikuta nasikitika kwa sauti. [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisikitike sana ndio mpira ulivyo..hata hivyo bado nafasi IPO..Hamna kitu ila nimejikuta nasikitika kwa sauti. [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Eti cha kulalia.Mtani pole naona vijana wa mjini ville washapiga cha pili cha kulalia ....
Hahahahahaa...watu mna dhambi aiseee, unajua umenifanya nicheke kwa nguvu.Kwakoo mwalim kashasha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani.Usisikitike sana ndio mpira ulivyo..hata hivyo bado nafasi IPO..
Kweli kabisa.Game imeisha hii
Hicho itakuwa ngumu kukichomoa.... but na imani ugenini tutaenda fanya wonders chini ya Mr Obrey ChirwaHahahaaa. Eti cha kulalia.
Haya bana mtani.
Mpaka sasa hivi Yanga ameshachezea 2-1.Usikimbie mkuu tuwepo mpaka mwisho
Mpira huu. Ila nitazidi kuamini baada ya kipyenga cha mwisho.
Vijana wetu hawa bado sana game za kimataifaKweli kabisa.
Mambo vipi mkuu! Niko mbali kidogo na matangazo, ngapi ngapi?Mjitekenye wenyewe. Sisi hatufanyi masikhara tunapita. Endeleeni kusema tusahau
halafu timu inayofungwa kwa pasi nyingi huwa wanaziangalia tu hzo pasi wakidharau mpaka pale mtego unapokaa sawaDAAH HILI GOLI LA PILI JAMAA WAMEPIGA PASI KAMA 200!
Aiseee. Sidhani Mtani ila huenda ikawa hivyo.Hicho itakuwa ngumu kukichomoa.... but na imani ugenini tutaenda fanya wonders chini ya Mr Obrey Chirwa