pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Yanga bhwana yaani we acha tu hapo ndio mpaka ubingwa kwa jinsi ninavyowajua haya bhwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena liko kweupeee hilohilo mbona liko wazi kabisa!
Hahahaaa hata sub inakuwa kubishana tena mbele ya wageniHassan kessy,tshishimbi,kamusoko,ngoma,tambwe hawapo lakini timu inapata matokeo,wenzangu wakimkosa yule babu wa uganda au bokoharamu wanaanza kususiana timu wakati mwingine hawasalimiani kabisa.
Mkuu we noma aisee wapiga debe wamechomoa,nisalimie yule mtu anaekimbiaga jukwaa (Sembo)