Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Yanga bhwana yaani we acha tu hapo ndio mpaka ubingwa kwa jinsi ninavyowajua haya bhwana
 
Wamechukua point 3 leo haoo wanaondoka usiku huu kwenda hukuooo kukipiga cha nje
 
Mechi ya 6 ligi kuu bila kupoteza.....

Hahahahaha na kikos chetu cha 12000.....
 
Hassan kessy,tshishimbi,kamusoko,ngoma,tambwe hawapo lakini timu inapata matokeo,wenzangu wakimkosa yule babu wa uganda au bokoharamu wanaanza kususiana timu wakati mwingine hawasalimiani kabisa.
Hahahaaa hata sub inakuwa kubishana tena mbele ya wageni
Mkuu we noma aisee wapiga debe wamechomoa,nisalimie yule mtu anaekimbiaga jukwaa (Sembo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…