Uwanja wa Yanga huooooo.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kutokana na mwenye nyumba kuamua kuwafukuza wapangaji wake,hii inaashiria kumfanya mh. Manji aanze haraka kuanza ujenzi wa uwanja kabla ya muda alioupanga na kuonyesha jeuri kwa huyo mwenye nyumba na wengine wote wanaodhani hana jeuri ya kufanya hivyo.Yanga oyeee.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
Good but asisahau kwamba akili ni mali.
 
Mmeambiwa uwanja mta jenga wenyewe katika zile 25% ambazo mtapewa kila mwaka
 
anawadai bil 11.6 kudadadeki watasubiri sana kumiliki uwanja huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…