eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Kutokana na mwenye nyumba kuamua kuwafukuza wapangaji wake,hii inaashiria kumfanya mh. Manji aanze haraka kuanza ujenzi wa uwanja kabla ya muda alioupanga na kuonyesha jeuri kwa huyo mwenye nyumba na wengine wote wanaodhani hana jeuri ya kufanya hivyo.Yanga oyeee.