Uchaguzi 2020 Uwasilishaji wa sera za CHADEMA umeshiba na ndio unaoleta kizaazaa Lumumba

Uchaguzi 2020 Uwasilishaji wa sera za CHADEMA umeshiba na ndio unaoleta kizaazaa Lumumba

Lissu alisoma HGE Galanos tanga alipiga Div 1 kali sana...huyo mwamba sijui alisomaga wapi ila akaenda Diploma ualimu

kumbe alisoma HGE, ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Siyo kweli hata iwe HKL , PCM , M.D., Ph.D ya Korosho n.k mtindo ni huo huo 5W + H1

5W = Who? What? When? Where? Why?
1H= How?

hii ndo akili yako imefikiria mpaka mwisho! we angalia tu jinsi cdm mmehandle corona then angalia magu alivo handle then njoo na jibu nan msomi kutokana na mada yako kwamba mtindo ni huo huo
 
Hongera Tundu Lissu! shikilia hapohapo watu wanakuelewa sana na pia unawavuruga watu wa Lumumba. Hawana uwezo wa kujibu hoja zako,wanaishia kuandika "Magufuli 5 Tena".

CCM ya Magufuli KWISHA..
 
Lissu amesoma na anajiendeleza, maarifa tele. #NIYEYE #LISSURAIS2020

Jiwe kanunua PhD ni feki kila kitu hata kidhungu hajui. HATUMTAKIII!!!
 
Naam, mikutano yake ni darasa. Hakuna kilichoandikwa kwenye karatasi lakini ukisikiliza utadhani msoma taarifa ya habari kwenye screen ya studio ya TV. Ana uwezo mkubwa sana. Ndio maana huwa anashinda kesi mahakamani.
Mahakamami walishanawa mikono. Kesi ikisimamiwa na Lissu basi tena inaisha kabla hata ya kusomwa.
 
Tundu Lissu ni zawadi toka kwa Mungu.
Walimpiga risasi afe,ikashindikana.
Wakamvua ubunge na haki zake kuzipora,ikashindikana.
Yote hii ili Mtanzania aje apate ukombozi wa kweli.
Kura zote kwa Tundu Lissu.
Hakuna siku nilikosa amani kama siku ambayo nec walitakiwa wamtangaze wakawa waanchelewa aisee that day I won't forget

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona kwenye CV yake hakuna hiyo diploma ya ualimu mkuu au niliyoiona mini siyo yenyewe

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwamba hakufanya vizuri form 6, pamoja na kua na historia ya kufukuzwa shule na kwenda kusoma shule zingine, kama ulikua hauna taarifa alikuaga ni mwalimu wa chemistry pata taarifa mkuu kama PHD amepata kwa kubebwa licha ya kua na uwezo mdogo darasani
 
Back
Top Bottom