shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Duh kweli hii taarifa mpya basi kunauuusiano mkubwa na namna anavyofanya presentation yake, kuwa mwalimu plus mwanasheria tena msomi hapo lazima umwelewe tu hata kama wewe ni mbumbumbuMwamba hakufanya vizuri form 6, pamoja na kua na historia ya kufukuzwa shule na kwenda kusoma shule zingine, kama ulikua hauna taarifa alikuaga ni mwalimu wa chemistry pata taarifa mkuu
Mwalimu ni huyo kilaza wa PCMDuh kweli hii taarifa mpya basi kunauuusiano mkubwa na namna anavyofanya presentation yake, kuwa mwalimu plus mwanasheria tena msomi hapo lazima umwelewe tu hata kama wewe ni mbumbumbu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
NEC wanajitahidi kutubembeleza, wakidhani kama watoto, tutapata usingizi.mkuu NEC wasitegemewe kabisa kwenye hili.
my point is Chadema must proactively take a lead throughout.... wasiwe passive hata kidogo.
Labda umeelekezwa usimsikilize; UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATUTundu Lissu atoi sera bali anatoa lawama tu kwa Magufuli.
Very loved leader ever.hii ni zaidi ya NyerereTundu ni charismatic
Naona kila siku wanajaribu nguvu mpya.hahaaaNEC wanajitahidi kutubembeleza, wakidhani kama watoto, tutapata usingizi.
Siyo lazima wakubaliane. Mahitaji ya kisiasa ya sasa ndiyo jambo la msingi zaidi. Mtei naye ni lazima akubaliane na uhalisiankismama katika ukweli then lissu has nothing cha maaana kinachotoka kwenye hizo lipstick zake! mbowe na kutkojua kusoma kwake but he has wisdom, mara nyingi sana anakua hakubaliana na magufuli lakini anajua how to present his ideas!
- For lissu kati ya kopo la cdm kuwahi kutokea ndo lissu sasa to the extent hata mwanzilishi wa chadema mwenyewe edwin mtei hakubaliana nae, such a waste for chadema! uchaguzi umepotea kihovyo kabisa
umenena mkuu. Suala la kulinda kura na kuhakikisha ushindi ni la wananchi wenyewe. Tundu Lissu peke yake hawezi kulinda kura nchi nzimangoja niongee pointi zangu kwa volume kubwa...
1. kuhamasisha kupiga kura - doable
2. kura zihasebiwe vituoni - doable
3. wawakilishi kuhesabu kura - doable
Siyo lazima wakubaliane. Mahitaji ya kisiasa ya sasa ndiyo jambo la msingi zaidi. Mtei naye ni lazima akubaliane na uhalisia