Uwazacho ndo ukivutacho toka ulimwengu wa kiroho hadi kimwili

Uwazacho ndo ukivutacho toka ulimwengu wa kiroho hadi kimwili

Ukijiwazia umaskini unapata umaskini, lakini ukijiwazia Utajiri huupati? Hizi dini ni mbaya sana kuliko ubaya wenyewe Ndugu Inspiration speaker
Kumbuka nguvu au mawazo hasi ndo yana nguvu na matokeo yake huja upesi na ukiyawaza hayana mpinzan yaan Uzur wa kuupinga ubaya unakuwa chin

ukiwaza mazuri yanakua navip.ingamiz vingi hofu kutojiamin na kuona haiwezekan kwahyo unajikuta uzuri unakua navipingamiz ving hii hupelekea mazuri kuchelewa
 
Kwa hiyo kujiwazia kuna tiki Tu pale ublnapowaza mambo Hadi, ukiwaza mambo positive inagoma?
 
Kwa hiyo kujiwazia kuna tiki Tu pale ublnapowaza mambo Hadi, ukiwaza mambo positive inagoma?
kuwaza ndo sara/maombi harisi kabisa.
Unachowaza ni kama unakiomba.
Kweny maisha yako huenda uishawah kuwa na shida fulan ukawaza sana, ghafra tu shida hiyo inatatuka kwa njia ambayo hukutegemea.

Hata ukiwa unapga maomb kanisan/msikitin lazma kichwan ulete picha/taswira ya uombacho
 
Nothing can take you far without hard work and being smart

Positive thinking ni added advantage
kazi yoyote unatoka, ila kichwan uwe free na hofu/woga visiwepo.
Maana mara nyingi ukiwaza mazur na ikawepo hofu unajikuta unachokiwaza kinakimbia na kuwa ngumu kukipata, kutokana na mindset zako kuhusu hiko kitu.

Mfano mwafrica anavojichukulia alivo na anavomchukulia mtu mweupe/mzungu, ile inakua kama gereza

Ila ukikiwaza na kuweka iman bila hofu, hata hutahangaika kukipata
 
Back
Top Bottom