Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
-
- #21
Kumbuka nguvu au mawazo hasi ndo yana nguvu na matokeo yake huja upesi na ukiyawaza hayana mpinzan yaan Uzur wa kuupinga ubaya unakuwa chinUkijiwazia umaskini unapata umaskini, lakini ukijiwazia Utajiri huupati? Hizi dini ni mbaya sana kuliko ubaya wenyewe Ndugu Inspiration speaker
Kwa hiyo kujiwazia kuna tiki Tu pale ublnapowaza mambo Hadi, ukiwaza mambo positive inagoma?Kumbuka nguvu au mawazo hasi ndo yana nguvu na matokeo yake huja upesi na ukiyawaza hayana mpinzan yaan Uzur wa kuupinga ubaya unakuwa chin
ukiwaza mazuri yanakua navip.ingamiz vingi hofu kutojiamin na kuona haiwezekan kwahyo unajikuta uzuri unakua navipingamiz ving hii hupelekea mazuri kuchelewa
tuishi humo kweny iman ya memaReally
kuwaza ndo sara/maombi harisi kabisa.Kwa hiyo kujiwazia kuna tiki Tu pale ublnapowaza mambo Hadi, ukiwaza mambo positive inagoma?
natumai maisha mapya kwakoNice
ndioo
kazi yoyote unatoka, ila kichwan uwe free na hofu/woga visiwepo.Nothing can take you far without hard work and being smart
Positive thinking ni added advantage