Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Wanachama wa CCM karibu Mwanza nzima hawawezi kumrudisha tena kwenye nafasi yake ya uwenyekiti wa CCM wa mkoa, wameishamtengea nafasi hiyo Said Mecky Sadik

Ataanguka kutoka kumiliki ndege za abiria za Community Air mpaka atapanda boda boda.
 
Sikutegemea maelezo tofauti
 

Na Utabiri huu ukatimia!!
 
Vyombo vya habari vyote vingekuwa huru kumuhoji Makonda / Bashite bila figisu za baraza la habari sijui, kusingekuwa na ubishi wote huu.

Habari za wingu hili zimetengenezwa na wanahabari wenyewe kwa kumfanya Bashite bidhaa adimu.
 
Upuuzi mtupu na tamaa ya watanzania Dialo ni Kati ya makatilib asiyekuwa na huruma hata kidogo ni katili kwa wafanyakazi wake na hata kwa jamii yake huruma kwake mwili na ndo maana hata TV yake kwa ss haina mvuto tena na jamii pili ni mkwepa kodi toka lini serikali ikawa karibu na mkwepa kodi?wacha tuone huyo makonda atapetape lkn kwa ss akae skujua amekamatwa hana tena namna
 
Masikini diallo,from hero to zero,kampuni inakufa,utajiri umekwisha,amekwisha sasa diallo,kaisha kabisa,tangu kutengeneza majiko ya umeme mpaka kuomba hela kwa vitoto kama DAB
Lini alitengeneza majiko kama c kuwafukuzisha nchini wenye kutengeneza hayo majiko na kujimilikisha mwenyewe zambi hiyo haikwepeki
 
Hivi Diallo ni mtu wa kutishwa?Bavicha hebu muacheni makonda mnakiuka viapo vyenu vitawadhuru
Kwa vile lumumba mmeshazoea kula viapo vya kishirikina na sirikali yenu mnafiiri upinzani nao ni hivyo hivyo
 
Acha wafu wazikane na wafu wenzao, Bashite ni "mfu" na Diallo ni "mfu" mwenzie.. Naona wameamua kushare kaburi lao
 

Na kwa taarifa yenu-Mhe.RC mchapa kazi,mtetezi wa wanyonge, Paul Makonda ameshafunguka kwamba jina la Bashite si lake na kwamba halitambui (Soma Gazeti la Uhuru la leo 23/05/2017).Mtu yeyote atakayeendelea kulitumia iwe hadharani,kwenye magazeti au kwenye mitandao ya kijamii tutakabiliana naye kuanzia leo.Hatutaki mchezo na wauza unga.Tutamshughulikia.Chapa kazi Makonda.
 
Najaribu kuwaza namna mleta mada alivyoweza kukusanya habari hizi...
 
Nani asome hayo makaratasi, kwahiyo unaona jamaa yako amefanya jambo la maana sana kulikataa jina lake halali kwa ajili ya mkate? Hiyo ni aibu na laana! Hilo la wauza unga kawadanganyeni mabashite wenzenu, wala msitake kuwafanya watu wajinga!
 
Kwa vile lumumba mmeshazoea kula viapo vya kishirikina na sirikali yenu mnafiiri upinzani nao ni hivyo hivyo
Sakata la Lowassa linawatafuna nyie wanafiki.Mliapa lowassa hasafishiki na hatakanyaga chadema,mkatumia dakika 30 tu kumfanya mgombea.Kwa sasa anawamaliza taratiiibu huku mnajiona na wewe unajua kuwa chadema ya may 2015,sio ya leo!
 
Sakata la Lowassa linawatafuna nyie wanafiki.Mliapa lowassa hasafishiki na hatakanyaga chadema,mkatumia dakika 30 tu kumfanya mgombea.Kwa sasa anawamaliza taratiiibu huku mnajiona na wewe unajua kuwa chadema ya may 2015,sio ya leo!
mimi ni non-partisan, lakini penye ukweli nafikiri hata wewe mwenyewe japo ni kada mtiifu, unaufahamu.

CCM inajua kabisa kuwa indictment ya lowassa ndo kiama cha CCM ndo maana CCM wanaishia kupiga jaramba tu.

SWALI; Mahakama ya mafisadi ipo kwanini msimshtaki lowassa huko?

BASHITE alete vyeti hayo mengine hatutaki kujua.
 
Makonda alimuhaidi atamsaidia kuongea na mamlaka za juu kumpatia TAX HOLIDAY endapo atakubali kufanya naye kazi na kurusha taarifa zak
JF inaelekea Shimoni.. Hii nayo ni habari ndani ya JF.. Mngejua thamani ya JF.. Msingeleta matakataka haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…