Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Katika uchunguzi Wangu Sijaona nguo aminifu na vumilivu kama Nguo ya ndani alimaarufu Kama "CHUPI...!" Inaona mengi lakini haitoi siri.. Inahifadhi nyeti zenye kila aina na kila sifa kuna Kubwa na Ndogo pia, Inahifadhi Nywele za kule chini zilizo safi na chafu.. Inabebeshwa PEDI na Dushelele.. Lakin Iko Kimyaa..! Inavumilia harufu mbaya ya JASHO, MIKOJO na MASHUZI.. Hiyo Nguo jamani...! Watu wakifanya ngono huvuliwa na kutupwa kulee Tena inarushwa na teke la Mguu ... Na baadae ikirudiwa haifanyi nongwa, hainuni wala kulalamika. Hivyo nakuombea na wewe uwe na Moyo kama wa CHUPI...