Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Hayo magari yanapotelea kusikojulikana CHADEMA wakiwepoHabari Tanzania !
Eti mpenzi unaonaje, Wagombea waliothibitishwa na Vyama vyao na Tume ya Uchaguzi wapewe vyombo vya usafiri hoja kubwa ni; Wanatumikia umma.
Hii itachochea wagombea kujitokeza kwa wingi pasipo uoga wowowte ule na kutakuwa na uchanuaji wa ushindani kikamilifu. Baada ya uchaguzi kuisha vyombo vya walioshindwa vinarudishwa Serikalini mpaka tena msimu ujao wa chaguzi.
1. Rais - Gari kubwa (Mkonga)
2. Mbunge - Gari kubwa (Mkonga)
2. Diwani/ Sheha - Gari ndogo mfano; IST
3. Mwenyekiti - Pikipiki
NB
1. Maintenance ni bure kipindi cha uchaguzi.
2. Mafuta watajipata wenyewe; hakuna bure kwenye hili.
Tujipe raha wenyewe maana mauchaguzi yenyewe yanafanyika mara moja kwa miaka 5. Wapeni watu raha kwenye nchi yao aisee.
Karibu.
Zinarudi toka Tume. Tume watajua wapi kwa kuzipeleka baada ya uchaguzi.Nina maswali, gari wanapewa moja kwa moja ama zinarudi INEC baada ya uchaguzi? Kama wanapewa moja kwa moja je zinakuwa za wagombea ama chama cha mgombea?
Ikipendeza tupate wagombea wenye ushindani sawa. Lengo tupate watu bora kwenye viwango vikubwa.Hivi mna habari uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi wagombea wa ubunge wa vyama vyote walipewa ruzuku ya kampeni? Kuna watu waliopiga fedha za bure kwa kutumia vyama ambavyo hata vilikuwa siyo maarufu. Kna mwamba mmoja alichukuwa fedha akafungulia duka.
Nimezungumzia mahusiano kati ya Mgombea na Tume hapo chama watakomaa labda na huduma nje na huo usafiri.Hayo magari yanapotelea kusikojulikana CHADEMA wakiwepo